Kingdom Media ikiwa kwenye video shooting ya wimbo wa mwana Dada
Julienne Umuruta mzaliwa wa Congo aishiye Kentucky USA.Kwa sasa yupo kwenye shooting ya video yake inayofanyika
kwenye bustani za kupumzikia yenye bwawa lililotengenezwa maalum kwajili ya
kuvulia samaki,lenye viboti vidogo vidogo ndani ya jiji la Cincinnati nchini
USA.
Mtaarishaji wa video Alex ameijuza unclejimmytemu.com na kusema hii ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi zitakazo tumika kufanya shooting ya video hii....Video hii itakapo kamilika mdau wangu utaipata hapa www.unclejimmytemu.com
Director Alex akiwa kikazi zaidi









0 comments: