Kwaya ya KLPT Kimara alimaarufu The Reapers Siku ya jana katika Ukumbi
wa VCCT walifanya Live Recording yenye jina la "Wanipa Raha". Kwaya hiyo
ambayo ilikuwa ikirecord Albam yake ya 4 ya DVD tangu kuanzishwa kwake
siku ya jana walidhihirisha kuwa wao ni kati ya Kwaya chache sana
zilizobaki hapa Tanzania.
Wakiimba kwa kujiamini siku ya jana na zoezi la Live Recording likianza
saa 11:10 lilimalizika rasmi saa 2 usiku huku watu wakiwa bado katika
ukumbi huo.
0 comments: