Usiku wa jana katika ubalozi wa Israel kulifanyika sherehe za siku ya uhuru wa taifa la Israel lililo udhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mwl.Mwakasege akiwa na familia yake pamoja na marafiki wa karibu yake.Katika sherehe hizo
Mwl.Mwakasege alipewa nishani na balozi wa Israel iliyotengenezwa kwa madini ya Israel kama sehemu ya kutambua huduma aliyopewa na Mungu pamoja na mchango wake katika kuliombea taifa la Israel,ambalo siku ya jana lilikua likitimiza miaka 66 tangu lipate uhuru wake.

Muonekano wa event kabla ya wageni kuingia
Mama na Mwana Joshua Mwakasege.
Joshua Mwakasege akiwa ameshika nishani aliyopewa Mwl.Mwakasege
Ukiangalia maandishi yaliyopo hapo katikati unaweza kudhani kiarabu.....ni neno ISRAEL.
Kushoto mdau Emmanuel Kwayu akiwa na David Sengati moja kati ya watu wa karibu na familia ya Mwakasege.
Mule mule mwendo wa Koti
0 comments: