weekend hii wakati sherehe za tamasha la pasaka zilipokua zikiendela mkoani Shinyanga na Mwanza.Edson Mwasabwite akizungumza na Uncle Jimmy asubuhi ya leo akiwa uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea Dar es salamu,anamshukuru Mungu kwani ni kwa neema amenusurika kufa katika ajali hiyo iliyotekea Jumamosi mkoani Morogoro kijiji cha dumila ambapo mwendesha
bodaboda akiwa amembeba abiria walikatiza barabarani, ndipo hapo katika jitihada
za kumkwepa akawa amemgonga, ambapo mwenye bodaboda na abiria wake waliumia
kiasi cha kupelekwa hospitalini, ambapo wapo hadi hivi sasa, huku gari yake
ikiwa kituo cha Polisi.
0 comments: