Saturday, April 19, 2014

VIDEO:MAISHA YA T.B JOSHUA ALIKO TOKEA NA WAPI ALIKO ANZA HUDUMA YAKE.

By Jimmy  |  1:17 PM No comments

 Nafahamu fika wewe sio mgeni na mtumishi wa Mungu T.B Joshua kutoka Nigeria,
amekua mtumishi mwenye jina kubwa barani afrika na ulaya kutokana na Mungu kumtumia mtumishi huyu kwa mafunuo yake.Yapo maswali mengi unayojiuliza alianzaje huduma yake,nani alikua role model wake katika huduma.Maswali haya sio wewe peke yako uliyekua ukijiuliza,wapo watumishi wa Mungu ninao wafahamu hata wao walikua wanajiuliza kama wewe....kutoka kwenye website yake ya http://emmanuel.tv wamepost video yenye story ya maisha ya huduma yake na wapi Mungu alisemanaye katika kuanza huduma yake.Nisikuchoshe kwa maneno mengi tazama video yake hapo chini ikwa imetazamwa na watu 145,746.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP