Tukiwa tumeanza msimu mpya wa Chomoza ya Clouds TV mda wetu tunakupa nafasi ya wewe kuchagua muimbaji gani hawezi kushika namba moja katika TOP 5 ya Chomoza wiki hii.Zipo video 5 za waimbaji wa muziki wa injili ya kwanza ni...
(1)John Lisu-Yu hai Jehova
(2)Rose Muhando-Nibebe
(3)Upendo Nkone-Niacheni niimbe
(4)Ambwene Mwasongwe-Upendo
(5)Kijitonyama Uinjilisti-Kwa Neema Twaokolewa.
Unachotakiwa kufanya mdau wangu ni wewe kupiga kura uwezavyo kwa muimbaji unayempenda ili aweze kushika namba moja kwenye Top 5 ya Chomoza ya Clouds TV.Jinsi ya kushiriki nenda kwenye simu yako ya mkononi sehemu ya kutuma ujumbe mfupi wa maneno andika neno CMZ acha nafasi kisha chagua muimbaji wako kwa maneno na tuma kwenda namba 15678.Bei moja mitandao yote Tanzania.
0 comments: