Willy Paul muimbaji kutoka Kenya alipata nafasi ya kwenda USA kwenye uzinduzi wa albam ya DVD ya mwanamuziki wa injili MISENGE MAKECHI inayokwenda kwa jina la NIGUSE MUNGU,katika uzinduzi huo Willy Paul alipata bahati kufanya mahojiano na kampuni ya Kingdom Media na kueleza mambo mengi.
Kati ya mambo aliyoeleza mdau wangu ni yeye kutamani kufanya kazi na waimbaji wa Tanzania akiwemo Christina Shusho,Boniphace Mwaitege na wengine wengi.Kwa hisani ya Uncle Jimmy soon nakuletea mahojiano yake na Kingdom media wiki ijayo kwenye Chomoza ya Clouds TV.Stay tune mdau wangu.
CO wa Kingdom Media Mr Alex kwenye one & to interview na Willy Paul.
Willy Paul alipoanza kazi jukwaani.
Hapana chezea kizazi cha vijana
On stage Willy akifanya kweli USA
Kama dawa kama kawa
0 comments: