Janet Otieno muimbaji wa Gospel nchini Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya "Mtafuteni" ukiwa umetazamwa na watu 112 hadi sasa.Janet alipata umaarufu mkubwa baada ya kufanya kolabo na Christina Shusho kwenye wimbo wake (Napokea Kwako) mwaka jana.Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV enjoy mdau wangu.
0 comments: