Suala la muonekano Kwa wanamuziki wa injili ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa sana kwenye vyombo vya habari. Zifuatazo ni picha za wanamuzikiwa Injili na watu maarufu walivyotupia kwenye Tamasha la Pasaka siku ya Jumapili.
Mwanamuziki Wa Kimataifa Upendo Kilahiro akiwa kwenye muonekano maridhawa
Mwanamuziki Jesca Honore a.k.a Jesca BM akiwa ndani ya Vazi Refu lenye Staha
Hivi ndivyo ambavyo Sura ya Jesca BM ilipambwa na Tabasamu
Mwanamuziki Kutoka Zambia Ephrahim Sekeleti akiwa kwenye Muonekano wa Kiuanamuziki
Sarah K mama niseme akiwa kwenye Muonekano wa aina yake
Full Mwonekano wa Sekeleti
La Presidaa Imma Mabisa wa GWT akiwa katika muonekano wa mpangilio
Red, White and Black
Debro la Presidaaa and Produce' wa Calvary Band akiwa makini
Pozz la Ukweli la Le Presidaa
Hawa Jamaa ni wa Ukweli Sana kama AKI na UKWA wanaonesha kuwa kucheza Show sio Kuvaa Hovyo nayo ni Kazi
Kila Kazi Na Mwonekano wake
Baba Watatu yeye aliamua kutokelezea Kitamaduni zaidi
Huyu ni mwanamuziki anayefanya kazi ya Muziki wa Injili nchini Uingereza akiwa ndani ya Pozz la Suti.
Mkanda wake unaalama ya |M" yaani Masanja. Huyu ndiye ni Masanja Mkandamizaji
Masanja Mkandamizaji
Mess Jacob mwanamuziki makini akiwa Uwanjani
Evelyne akiwa kikazi ndai ya Uwanja Wa Taifa
Upendo Nkone
0 comments: