Kuna orodha ya waimbaji na baadhi ya wadau ambao wapo
kwenye mtandao wa Instagram...mtandao unaokua kwa kasi kutokana na kupata wapenzi wengi.Katika utafitia wangu nimegundu waimbaji wa Gospel baadhi wanaipenda Instagram kuliko facebook kutokana na staili yake ya kutupia picha tu.Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV hii ndio listi fupi
John Lisu
Mtoto wa mchungaji Deo Lubala
Emmanuel Gripa kutoka band ya GWT
Aron Botto kutoka Glorious Celebration
Uche
Huyu ni mtangazaji wa Wapo Radio Mbise...naye ni mwimbaji.Mdau wangu listi nyingine itafata.Endelea kuwa nami kwa habari zaidi www.unclejimmytemu.blogspot.com.
0 comments: