Nikiwa safari kuelekea mkoani Tanga kumetokea ajali ya basi katika eneo la mihanzini kwa mujibu wa mashuhuda wanasema
dereva alikua kwenye mwendo wa kawaida usio na madhara yoyote ila alipo karibia mihanzini gari ilianza kuyumba na kisha kuanguka.Gari ilo lililoku likitokea dar kuelekea Tanga lilikua na abiria 52,baada ya ajali inasemekana abiria watatu walikufa hapo hapo na majerui 6 waliwahishwa hospitalini.
Mpaka blog ya Unclejimmy inatoka katika eneo la tukio inasemekana kuanguka kwa basi hilo kumetokana na mafuta yasiyo tambulika ni mafuta gani kusamba katika barabara eneo la mihanzini.Tahadhari picha ya mwisho chini sio nzuri......
0 comments: