Friday, April 11, 2014

ALEX MSAMA WA MSAMA PROMOTION APATA AJALI DODOMA LEO

By Jimmy  |  7:24 PM No comments

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma.Chazo cha ajali
kilitokana na yeye kumgonga kijana aliyekua akiendesha basikeli na matokeo yake gari aliyokua akiendesha kupinduka mara 3.Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.
Picha zote kutoka kwenye Istagram ya mchekeshaji Steve Nyerere
                            Alex msama akiwa hospitalini baada ya ajali.Kulia ni mwenyekiti wa bongo movie Steve Nyerere  
                 
Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni 
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere.
- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2014/04/alex-msama-apata-ajali.html#.U0gUf6Ku5uZ
Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni 
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere.
- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2014/04/alex-msama-apata-ajali.html#.U0gUf6Ku5uZ
                                                                                
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma. - See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2014/04/alex-msama-apata-ajali.html#.U0gSX6Ku5uY

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP