Leo nikiwa natoka Tanga majira ya asubuhi nimekutana na mafuriko makubwa katika mto Ruvu,mafuriko haya ambayo kwa wakazi wa Ruvu wanasema hayajawahi kutokea takribani miaka 50 iliyopita.Kutokea kwa mafuriko haya kumesababishwa na mvua za mikoa ya Morogoro,Iringa na Tanga zilizo nyesha mfululizo kwa siku tatu kupelekea kuleta maji kwenye mto
Ruvu na matokeao yake kufunika barabara ya karibu na daraja la Ruvu na kusababisha magari mia 200 yaliyotokea mikoani na yaliyotokea Dar kutoweza kupita kutokana na maji kujaa katikati ya Barabara.....hadi muda huu bado tume kwama Ruvu.

Mh.Waziri wa ulinzi Hussen Mwinyi lipofikakwenye mafuriko Ruvu.
Nyoka akiyakimbia maji.
0 comments: