Zikiwa zimebaki siku 6 kufanyika Thanks Giving ya kwaya ya KKKT Msasani wanakupa mwaliko wewe mdau,rafiki mwenye
kupenda uimbaji wa mziki wa injili kufika kwenye tukio hili la kihistoria.Coordinate wa event hii mr Erick Mchome ameifahamisha blog kuwepo na matukio 4 yatakayo ambatana siku hiyo......(1)Thanks Giving imewaalika wachungaji mbalimbali wakiwemo {9} na wadau mbalimbali wa mziki wa injili pamoja na familia ya marehemu Prof.Hubert Kairuki. (2)Kutakuwa na kuweka wakfu CD maalum ya "Nakushukuru Mungu" kwa ajili ya shukrani ya pekee kwao,tendo hilo litaoongozwa na Mchungaji Metili wa Msasani.
(3)Baada ya ibada kutakuwa na luch ya pamoja kwa waimbaji,wachungaji,marafiki na wageni mbalimbali waalikwa.
(4)Tukio hili litatanguliwa na huduma ya kuwaona wagonjwa na kutembelea hospitali ya Mwananyamala wodi ya watoto.
Kumbuka eneo Msasani Lutheran Church katika ibada ya kwanza inayoanza asubuhi pamoja na ibada ya saa nne.Don't plan to mis mdau wangu.
0 comments: