Wiki tatu zilizopita Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege walifikisha miaka 30 ya ndoa yao.Hivyo basi
kulifanyika sherehe fupi ya kusherehekea ndoa yao jijini Arusha.Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Askofu Dr Alex Gehaz Malasusa pamoja na familia ya Mwalimu Mwakasege.
Ndugu pamoja na marafiki wakifatilia tukio hilo....
Vijana wangu the Voice walikuwepo
My friend David Sengati alikuwepo.Asante Sengati
Thenx uncle jimmy
ReplyDelete