Leo nikifanya mazungumzo na muimbaji wa kundi la 24elders Chiza Musenge ameifahamisha blog album yao iko sokoni kwa jina la "Kilicho Chako".Album hii wamefanya nchini Congo na Kenya kama sehemu ya wao kupata ladha tofauti tofauti ya produz wa muziki.Kwa mujibu wa Chiza amesema kuwa soon album hii
itakua Tanzania ikisambazwa na Umoja Audio Vision lakini kwa nchi ya Congo na Kenya sasa inapatikana madukani.
0 comments: