Kila Mtu ajitengenezee Rasimu Ya
Maisha yake ili kuweza kusonga. Wakati tunasoma Geography Secondary kati ya
Topic nilizozielewa sana ilikuwa "River Rejuvenation" nakumbuka
Mwalimu wangu Mwanajeshi mwenye jina la "Majengo" ambaye alifundisha
Makongo Secondary na Baadae akaenda Fundisha Airwing alitoa mfano na kusema
River Rejuvenation ni kama Nyoka anavyovua gamba lake na kuwa kijana tena
nakumbuka alisema eti inaitwa "Skin Rejuvenation". Ukisoma definition
ya Rejuvenate utaona nyingi zinasema vitu kama "seems young again",
"Look or Feel Better" or "more Vital", "zaliwa
tena", "ifanye upya", "mwonekano mpya" na maneno
yanayofanana na hayo. Kutokana na River Rejuvenation nimegundua kuna
"Marriage Rejuvenations" ambazo watu wanaweza peleka ndoa zoa kwenye
Karakana, Inawezekana ikawepo "Vision Rejuvenation", "Dreams
Rejuvenation", Life Rejuvenation na Spiritual Rejuvenation.
Chomoza Ya Clouds Tv iko katika Mchakato wa Chomoza Rejuvenation kwa sasa baada ya Mwezi Ujao itakapokuwa inatimiza Mwaka tangu kuanzishwa kwake. Haikuwa kitu chepesi wala haikuwa kitu cha
Chomoza Ya Clouds Tv iko katika Mchakato wa Chomoza Rejuvenation kwa sasa baada ya Mwezi Ujao itakapokuwa inatimiza Mwaka tangu kuanzishwa kwake. Haikuwa kitu chepesi wala haikuwa kitu cha
kudhania pia
kuwa itafika ilipofika kwa sababu hiyo ipo haya ya kui-evaluate upya kama bado
ipo kama ilivyokusudiwa. Program Rejuvenation inafanyika kwa kushirikisha wadau
mbali mbali ambao wanatoa mawazo yao kwa mwaka 2014-2015. Zaidi ya yote
tunakusudia kufana 1st Anniversary ya Chomoza
Clouds Tv...Mwaka jana tulikuwa na kauli Mbiu ya Kupita Katikati
Yao, Mwaka huu Miezi 6 ilikuwa ni "Amsha Amsha" Mwaka 2014
Rejuvenation inafanyika baada ya Kupata Revelation For Revolutions.....Stay
Tune for Info zitakuwa zinakujia hapa Kukujuza "Chomoza Rejuvenation"
"Revelation For Revolutions"..... Naomba neno Synonym ya Rejuvenation
tafadhari.....Salamu kwa Mzee wa Jahazi...Najua wajua Wajua lakini nataka
kukujuza Zaidi Baba Askofu Emmanuel Likuda, Baba Mchungaji wa Promise Landa Harris
Kapiga, Apostle in the Market Place Mzee wa 360 Degree Mc Hudson
Kamoga, na Shemasi Mtarajiwa Gerald
Hando......Apostles We Are In The Market Place.
— with James
Temu.
0 comments: