Wednesday, February 19, 2014

MTUME PETER NYAGA KUFUNGUA RADIO NA TV...

By Jimmy  |  7:00 AM No comments

Leo nilipata mwaliko na mtumishi wa Mungu Mtume Peter Nyaga mwenye huduma ya Urejesho Mkuu wa Mungu (RGC Miracle Center) Tabata Chang'ombe....ukarimu na mapokezi ya Baba huyu yalinipa somo kubwa sana.Huduma yake kwa sasa Mungu ameipandisha daraja kubwa,imekua huduma inayo wafikia watu wengi wa eneo la Tabata,Segerea,Kinyerezi,Ukonga na Tanzania kwa ujumla.Mungu amekua akimtumiwa kwa ishara na miujiza,watu wengi waliokua kwenye vifungo kwa muda mrefu kwa shetani wamekua wakifunguliwa na Mungu kupitia Mtume Nyaga.
Yapo mambo mengi aliyo nieleza kwa miaka minne mbele moja likiwa swala la yeye kufungua
kitua cha redio pamoja na TV.Haya ni maono yake na maombi yake baada ya miaka 4 awe na vituo hivyo.Kwa sasa Mtume Peter Nyaga anajipanga kufanya kazi na Clouds TV,TBC 1,ITV na Chanel Ten yupo kwenye maandalizi ya vipindi 50 vya mahubiri pamoja na maandalizi ya nguvu kupitia mitandao ya kijamii.
Mungu amempa maono ya kufanya kazi na vijana hasa wa hapa dar es salamu na mikoani soon ataanza kazi ya kufundisha vijana juu ya maisha ya mpasayo kijana na ujana.
Ofisi ya Mtume Peter Nyaga...very nice office
Pozi la tafakari.
Mtume Peter Nyaga anapatikana kwenye facebook kwa jina (Peter Nyaga) Kwa taarifa ya ibada zake na maombi mdau wangu muombe urafiki kwenye facebook.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP