Saturday, February 22, 2014

MDAU WANGU ZIKO PICHA 7 ZA MATUKIO YA CHOMOZA YA CLOUDS TV JANA.

By Jimmy  |  7:52 AM No comments


 Nikiwa na muimbaji Mess Jacob anaye tarajia kufanya uzinduzi wake tarehe 2/3/2013 Ubungo Plaza.Yapo mambo mengi aliyoeleza kupitia kwenye Chomoza ya Clouds TV.Usikose kumsikiliza J/pili hii kuanzia saa 18:00 hadi saa 19:00 usiku
 Wakati nikifanya shooting ya Chomoza jana nikakutana na rafiki yangu Allen...muimbaji kutoka kwaya ya Kijitonyama.
 On set Samuel Sasali na camer man wangu Katunda a.k.a kafruti.
 Nikiwa na tajiri Dennis kutoka manyoni...tukibadilisha mawili matatu.
Baada ya salaa...Ameni.
Binti Afrika Miriam Lukindo Mauki.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP