Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013.
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 |
Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012. Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.
Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.
Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561
Waliopata daraja la pili (Division 2) Wavulana ni 14,167 na wasichana ni 7,561.
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113.
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
KUANGALIA MATOKEO YA MITIHANI
Matokeo ya
Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) uliofanyika Novemba 2013 yanapatikana katika tovuti
http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm
http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm
Ni Kwa Hisani ya http://apostledarmacy.blogspot.com/
0 comments: