Tuesday, February 18, 2014

MASAA KADHA YALIYOPITA JOHN LISU KATUPIA PICHA ZA WATOTO WAKE (3) MAPACHA.

By Jimmy  |  3:25 PM No comments

Kutoka kweli wall ya muimbaji wa muziki wa injili John Lisu ametupia picha ya watoto wake mapacha wa (3) Tarehe 7/2/2013 Mke wa John Lisu (Nelly Lisu) alijifungua watoto mapacha watatu,Mtoto wa kwanza anaitwa JOSIAH wa pili anaitwa JONATHAN na watatu anaitwa JAYDEN.


Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9