Wednesday, November 20, 2013

KWA HISANI YA WADAU WA CHRISTINA SHUSHO TAZAMA PICHA 9 ZA MAZOEZI YA MWISHO YA LIVE RECORDING YAKE.

By Jimmy  |  7:14 PM No comments


Zikiwa zimebaki siku nne kufikia kilele cha Live record ya Christina Shusho katika ukumbi wa CCC Upanga hizi ni picha 9 wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabisa kuakikisha wewe mwenye love na Christina Shusho unasifu
na kuabudu kwa staili ya aina yake.Mdau wangu hii sio event ya kukosa tazama picha za mazoezi yake kwa hisani ya wewe mdau wangu.



Upendo Kilahiro akifanya kweli na Christina Shusho
Mamaa na kati ya Tegeta ukipenda muite (Mama G) akienda sawa siku leo
Br Joshua kwenye one and 2....

Hapana cheza tarehe 24/11/2013 CCC Upanga saa tisa alasili.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP