Friday, November 22, 2013

JICHO LA BLOG na JAELA GROUP

By Jimmy  |  9:26 AM No comments

 JAELA ni group linalo undwa na mabinti wa tatu Jackieline,Eliza and Angel,kundi hili lilitambulika rasmi April mwaka 2012.Kabla ya kuanza kazi yao pamoja wote walikua members at winners Chapel Dar es salaam mwaka 2007 hapo ndipo walipokutana.
 Kwa sasa JAELA wamekwisha record albam moja ambayo imekwisha malizika ikiwa na nyimbo sita chini ya Music Director Samuel Yonah....Album ya kundi hili imepewa jina la (Anipenda) ikitarajiwa kuwekwa wakfu mwishoni mwa December au mwanzoni mwa mwaka 2014 January.
JAELA wamekua maarufu kwakua wanafanya backup vocal na baadhi ya waimbaji kama Damian Soul,John Lisu,Sarah Shilla,Christina Shusho,Miriam Mauki na Samuel Yonah.Kwa mara ya kwanza mdau wangu nakupa nafasi kusikiliza record yao
..........hapo chini kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV.

So QT.....Mdumu
































 












Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP