Monday, October 21, 2013

SONY MUSIC KUMTOA RASMI ROSE MUHANDO MWISHONI MWA MWAKA HUU

By Jimmy  |  6:26 PM No comments

 Kushoto ni Seven Mosha,Rose Muhando na muwakilishi wa Sony Africa...Picha hii walipiga february mwaka jana kwenye hafla ya kusaini mkataba huo.

Mkurugenzi wa vipaji na Biashara Seven Mosha amesema kampuni kubwa ya muziki dunia (SONY MUSIC AFRICA) iliyo ingia mkataba na muimbaji Rose muhando mwishoni mwa mwaka huu kazi mpya za Rose Muhando zitaanza kutoka.Amesema kipindi chote mwana muziki Rose Muhando
alikua akirekodi nyimbo mpya kwenye studio za Sony Music Afrika zilizopo nchini Adrika Kusini.
Seven amesema nyimbo za Rose akiwa nchini ya label hiyo zitaendelea kuwa zile zile zilizo zoeleka kwa watu wengine lakini kilichobadilika ni ubora wa utayarishaji."Producer ambao alifanya nao kazi ndio hao hao,ni studio tu zilizotumika South Africa.Kwahiyo timu yake nzima ya production tulienda nayo South Africa"amesema.
Akieleza tofauti aliyonayo Rose kwa sasa,Seven amesema kipaji chake kiko pale pale na wamekiboresha zaidi kuwa na hadhi ya kimataifa na uwezo wa kuitumia sauti yake vizuri zaidi.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP