Mdau wangu hii ni sehemu nyingine unapata kujua vitu sita kwa mtu maarufu yoyote ninaye kutana naye iwe mtaani,kwenye event,harusi,msiba n.k.On the spot itakua ikikujia kila siku ya J/nne hapa hapa kwenye www.unclejimmytemu.blogspot.com,inachukua vitu sita usivyo vijua kutoka kwake,halafu wewe mdau wangu unapata kuvijua.Leo nimekutana na muimbaji ngulii a.k.a Mkongwe Modest Mogan...siku tegemea Mogan kama ni mpenzi wa dagaa.
Nikichukua vitu sita kutoka kwa Modest Mogan.Msikilize hapo chini mdau wangu.
0 comments: