Director J Blessing anayesifika nchini Kenya kwa kazi nzuri hasa kwa video kali anazofanya, jana nilipata bahati ya kuzungumza naye kwasababu alikuja Tanzania kwa kazi maalumu ya Zuku TV.Siku za karibuni mitandao ya Kenya iliandika kazi kubwa aliyofanya ya muimbaji Glory Muliro yenye thamani ya shilingi milioni 30 za kitanzania.Director J Blessing mtaalamu wa audio na video yuko na story kubwa ya maisha yake hadi kufika hapo alipo,ameshakua Chokora kwa miaka mingi baada ya wazazi wake kufariki akiwa mdogo.Amepitia shida nyingi lakini katika yote anamshukuru mungu kwa wokovu aliompatia.Haya ni mahojiano marefu niliyofanyanaye, msikilize mwenyewe hapo chini mdau wangu
.
.
Msikilize kwa makini J Blessing akieleza story nzima ya maisha yake hapo chini.


0 comments: