Askofu maboya alifanya ibada ya uamsho na nguvu ya Mungu tarehe 11-13 October 2013 akiwa Norristown,ambapo watu mbalimbali walimpa Yesu maisha yao,pia matendo makuu ya Mungu yalionekana.
Baada ya kumaliza huduma hiyo Askofu Maboya yuko Texas hivyo wakazi wa Texas kwa mawasiliano zaidi ya Askofu Maboya piga simu no 214-868-5151
Pastor Igogo na Pastor Ency Mwalukasa walihudumu.
Wakati wa Sifa baada ya shuhuda na matendo makuu ya Mungu
0 comments: