Thursday, September 5, 2013

WATU MARIDADI,MUZIKI MARIDADI,NA MODELS MARIDADI KUFANYA KWELI TAREHE 6/9/2013 USIKU WA FRIENDS ON FRIDAY MARIDADI.

By Jimmy  |  1:01 AM No comments

Silas Mbise na Samuel a.k.a Mtu aliye nyimwa urefu akapewa mdomo wakuongea.
 
Katika kudhihirisha FoF ya mwezi huu ni tofauti na FoF zote zilizo pita,safari hii unatokelezea kimaridadi huku ukipa muziki maridadi,mavazi maridadi,vichekesho kwa mc pilipili,na wadau maridadi.Blog imezungumza na mwanakamati Prospar Mwakitalima na kutujuza kila kitu kipo tayari kwajili ya Friends on Friday kuanzi models watakao pita na mavazi tofauti tofauti,pamoja na chakula kizuri kitakacho patikana siku hiyo.Aliendelea kusema kua neno MARIDADI ni asili ya mungu mwenyewe hivyo basi watu wataimba kimaridadi,watacheza kimaridadi na kuonyesha mavazi maridadi
 
Kama kawaida ya FoF lazima burudani ya mziki ichukue sehemu yake,na safari hii muimbaji Jesica Honore atasimamia jukwa zima la Friends on Friday kuakikisha unakwenda sawa siku hiyo.
Maridadi itakua siku ya Ijuma ya wiki hii yani tarehe 6/9/2013 saa 1 kamili usiku hadi saa nne kamili usiku.Eneo la tukio ni makumbusho ya kijiji kwa kiingilio cha sh 10000/= tu mdau wangu.
Hapana chezea ijuma hii mdau wangu kwenye Friends on Friday Maridadi.Nitafanya kweli mdau wangu.
 Models wakutosha mdau wangu.
 Models wa nguvu watafanya kweli siku hiyo katika kuonyesha mavazi tofauti tofauti.
 No Comment!!
 Model Hudson Kamoga.

 Maridadiiiiii
.
 Wachawee!!Hapana chezea ijuma hii kwenye Friends on Friday Maridadi.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP