Saturday, September 7, 2013

FRIENDS ON FRIDAY FUNIKA BOVU SIKU YA JANA

By Jimmy  |  8:32 PM No comments

Usiku wa Jana katika Viwanja Vya Kijiji Cha Makumbusho Friends On Friday Kama Kawaida ilikuwa ikufanyika ambapo katika siku ya jana FoF Ilikuwa na theme ya "umaridadi" ambapo kila kitu kilifanyika kwa Umaridadi.
 Amica, Faraja,  Mr & Mrs Lwendo nao walikuwepoo
 Chomoza ilichomozea FOF maridadi kama kawa

 Siku ya jana Friends On Friday ilianza muda wa saa 1 na Nusu kwa burudani ya Muziki kutoka kwa Mwanamuziki wa Injili Jesca Honore wa Magupa alikuwa akiongoza kikosi chake. Mwanamuziki Paul Clement na Joel "P and J" jana walifanya kitu cha tofauti sana walipoimba "Collable" katika viwanja hivyo. Burudani ya Mlugaluga kwenye Comedy ilishika hatamu kama kawaida baada ya kuonesha kipaji cha tofauti cha sauti.

Wakiwa wanafuatilia matukio...... wako makini...
 Pastor Harris Kapiga......... wakiwa maridadii
 Jesca Honore Mapupa akiwa anaabuduu
  Miriam Lukindo wa Mauki akisikiliza kwa makini........
Paul Clement akiwa na Joel aka soli wa bongo hawa watuuu walipiga kitu cha ukweliii
Mkoa baada ya Morogoro ukienda Mbeya ni Arusha hahahaha.... dada alitufurahisha sanaa
 Mwalimu Mndeme akitupa matokeo ya quize
 Model akionyesha vazi la jioni

Onesho la Mavazi Yampasayo Mkristo ndilo hasa lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa kuliko kitu kingine chochote siku ya jana maonesho hayo yalifana kwa namna ya tofauti sana katika viwanja hivyo. Designers wanne Edna Silver, Martha Silver, Alice na GOIG ndio walioongoza jahazi hilo la Mavazi.
 Vazi la kanisani likionyeshwa
 Vazi la safari halikukosa
 Casual wear nayo ipo
Dada akionyesha vazi la ofisini
 Mlugaluga akiwa kazini...........kaka anakipaji cha sauti funika bovuuuuuuu
 Moja kati ya ma designer Jesca
 Kiofisi zaidiiii.........
Ya ukweliiiiiii kuendea  
 Wanaume hawakukosekana
 
Hudson huku pia anawezaaaaaa, maridadii. 
 Vazi la kanisanii models wakionyesha.
 Designer Edna Silver akiwa na Silas Mbise.
 Hata huku niko vizuriii......
 Nitoke vipiii.. mambo ya beach wear hayo. 
 Vazi la usiku hilo.
 Kisafari zaidiii. 

Kushoto designer Alice akiwa na models.
 Dada alitupungia sanaa......

Asante Dr.Milembe John Madaha
a.k.a Blogger msiri



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP