Wednesday, September 11, 2013

NEEMA GASPER ATOA SHUKRANI KWA VYOMBO VYA HABARI,PRAISE POWER,WAPO RADIO,CLOUDS TV,NA CHRISTIAN BLOGGER.

By Jimmy  |  4:32 PM No comments

Ni mara chache sana waimbaji wa muziki wa Injili wanapomaliza kufanya tamasha ama event fulani kuwashukuru watu walowapa support kwa namna moja ama nyingine. Katika kazi yangu ya muziki wa injili kwa mara ya kwanza mwimbaji wa muziki wa injili Neema Gasper amenipa nafasi ya kumkumbuka 2013 kwa kuwa ameonesha umuhimu wa kuvishukuru vyombo vya habari viliovyotoa mchango katika kutangaza uzinduzi wake.
Leo majira ya mchana katika Hotel ya Atriums iliyopo Sinza Africa Sana, Neema Gasper ameita watangazaji wa radio za Kikristo na Christian Bloggers pamoja na wadau wa muziki wa injili na kuwashukuru kwa kazi nzuri waliyoifanya katika uzinduzi wa album yake mpya. Baadhi ya vyombo hivyo vya habari ni pamoja na Praise Power Radio, Wapo Radio, Upendo Radio, Christian Bloggers na Clouds TV kupitia kipindi chake cha Chomoza.

Yafuatayo ni matukio katika picha kuhusiana na kilichojiri.

Neema Gasper akishangaa!




Bloggers Samuel Sasali,James Temu,Mwemezi Kyaruzi.

Vero pamoja na Kisaka kutoka Praise power Radio wakiteta jambo.
Peter akiwa busy na msosi hapana chezeaa chakula kwa mwanaume

Ukipata baati ya kukaa na Kisaka hutaboreka mdau wangu.Kitu cha samaki kikishuka mdomoni


Big Boss George Mpela kutoka Praise power sijui chakula kilimshinda.Mana mwili huoo!!

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP