Muimbaji wa nguvu kutoka nchini marekani Deitrick Haddon ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la CHURCH ROCK akiwa amefanya featuring na LXW.Haddon kupitia ukurasa wake wa facebook anasema huu ni ujio maalumu wa albamu yake mpya aliyoipa jina la (Restoring Everything Damaged).Kupitia account yake youtube, video hii imeshatazamwa na watu 2,598 ikiwa imewekwa jana tu.
Itizame video hii mdau wangu kama unapenda mziki wa Gospel wenye mahadhi ya Hiphop.
Itizame video hii mdau wangu kama unapenda mziki wa Gospel wenye mahadhi ya Hiphop.
0 comments: