Inasemekana ili ndilo daraja serikali inafikilia jinsi gani wataweza kulipanua.Lilipo lina miaka mingi na mjenzi alikua mkoloni.
Picha hizi mbili ni vijana wanao chota maji ya tanki lililo kwenye gari,nilikutana nao njia panda ya himo.Hawa kujali maji yana kutu wala machafu ilimradi wakate kiu yao.
Hiki ni kipande kirefu cha barabara kinacho tengenezwa kuanzia Korongwe mpaka upareni Same.Sehemu hii inasemekana inakimbunga kikali kinacho aribu baadhi ya sehemu za barabara na nyumba za makazi ya watu.
0 comments: