Sunday, December 30, 2012

MVUA KUBWA ILIYONYESHA LEO MKOANI MWANZA YASABABISHA UZINDUZI WA MUIMBAJI JESCA JULIUS KUFANYIKA SIVYO.

By Jimmy  |  10:08 PM No comments

 Tamasha kubwa lililotarajia kufanyika siku ya leo ccm kirumba limeshindikana kufanyika vizuri kutokana na mvua kubwa iliyoshuka Mwanza nzima.Tamasha hili lililohudhuriwa na waimbaji wa nguvu,(Masanja Mkandamizaji,Bahati Bukuku,Mapinduzi a.k.a Mzee wa Majeshi majeshi) pamoja na mchekeshaji wa EATV Mtanga.

Picha zaidi za tamasha hili zitafuata baadaee
Sound Engineer akifunika vyombo vya muziki visilowane baada ya mvua kuanza kunyesha
 
 Mvua ikipamba moto

 Hapa ndio kabisaaaaaaaaa
 Uwanja ukiwa chapachapa
Jesca akiwa kwenye gari la matangazo wakati mvua ikiendelea kunyesha
 Hii ni sehemu ya juu ya VIP ya Uwanja wa CCM Kirumba. Sehemu hii ni sehemu ambayo Raisi akifika hupumzika kwanza akiongea na baadhi ya Viongozi kabla ya kuingia Uwanjani.
Korido ya kuingia VIP

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP