Saturday, December 29, 2012

HODI NYUMBANI KWA MEYA ILEMELA MWANZA.

By Jimmy  |  7:54 PM No comments

 
Mtoto wa Mhe.Henry Matata; Helen a.k.a Sekretari wa Mheshimiwa.

 Nikiwa niko Mwanza mahususi kwa tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 30/12/12 CCM Kirumba,leo nilipata bahati ya kwenda Nyumbani kwa Mhe. Meya wa jimbo la Ilemela Mhe. Henry Matata.Yako Mengi ambayo nilizungumza nae na kumkaribisha kwenye tamasha hilo siku ya kesho.

Baada ya mazungumzo marefu nikiwa na mtu wangu wa karibu Adolph Nzwalla,tuliweza kuandaliwa chakula cha mchana.Ninashukuru kwa moyo wa ukarimu wa familia ya Mhe.Henry Matata kwani nilipokuja Mwezi wa sita walinipokea vizuri lakini safari hii imekuwa ni zaidi ya Mwezi wa Sita.
Nikiwa Nyumbani kwa Meya
 Madikodiko ya kutosha mezani
 Asikuambie mtu raha ya kula kila mtu kimyaaa! kushoto ni Irene na Adolph.
 Kama kawa kama dawa.Salamu kwa blogger wa Mwanza.
 
Cute Face
 Katika Familia ya Mhe. Henry Matata,Mungu amemjalia watoto wawili wa pekee.Kushoto ni Adolph (Kivila pamoja na Helen) wa mwisho miss Irene.

 Kwa wale wadada mnaopenda kupendeza Mwanza, hii ni saluni ya mtoto wa Mhe.Henry Matata,Keischolastica a.k.a Kivila (wa kwanza kushoto)

Tumetokelezea

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP