Tuesday, October 30, 2012

SIKILIZA RECORD MPYA YA STELLA JOEL ALIYO WASHIRIKISHA ROSE MUHANDO NA MWANA HI HOP DOUGLAS a.k. Dp.

By Jimmy  |  8:47 AM No comments

Ni mara chache kusikia muimbaji wa mziki wa injili kafanya Kolabo na muimbaji flani,kama wapo basi ni wachache sana.Muimbaji Stella Joel ameshirikiana na Malikia wa Mziki wa Injili Rose Muhando pamoja na Mtangazaji wa Praise Power Radio Dp a.k.a mzee wa kingwasuu kupitia Record yake ya "Wanandoa"
Stella Joel

Nilipo ongea na Rose Muhando alisema kuwa Record hii anamshanga Mungu kwani yeye alikuwa akimalizia kuingiza sauti Zoom Studio ghafla akatokea Bibie Stella Joel na kumuomba afanye nae kolabo.Siku sita kufanya hivyo japo nilikuwa sijui nyimbo yake ameimba nini,kwa kuwa ni muimbaji nikaandika mistari yangu kisha nikaingiza sauti alisema Rose Muhando.
Rose Muhando

Wimbo huu unaofanya vizuri kupitia kituo cha Praise Power fm umekuwa mjadala mkubwa kwakua sehemu kubwa Rose Muhando nikama ameimba yeye hivyo kuleta ubishani mkubwa wimbo niwa Rose nasio wa Stella Joel.Ukiacha utamu wa Rose katika mashahiri yake,mwana harakati wa kutetea mziki wa Gospel Hip Hop Douglas a.k.a Dp amefanya vizuri katika wimbo huo kwa kugani ki-hip hop.

Dp ambaye ni mtangazaji wa Praise Power fm amejichukulia umaarufu katika wimbo huu kutokana na mashahiri yake yanayo muonya mwanaume kumpenda mke wake nasio kumpiga.Dp anaendelea kusema kuwa mwanamke ni Kigwasuu apigwi makofi bali upigwa kwa upande wa Kanga,Vitengo,Mapiza,Mabaga n.k.Hayo ni maneno yanayo patikana katika mashahiri ya Dp.
 Dp

Chukua nafasi yako kusikiliza wimbo huu kisha nipe maoni yako mtu wangu wa karibu.Excusive "Wanandoa"

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP