Wednesday, October 24, 2012

KWA WALE WANAOPENDA KITABU CHA FACEBOOK,NAFASI YAKO KUJUA KINACHO ENDELEA TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE.

By Jimmy  |  9:41 AM No comments

Mpambano wakutafuta waabuduo halisi ulio fika katika hatua ya Top ten siku ya jana nilipata taarifa ya wao kuwa na Page yao mpya Facebook itakayo kuwezesha kuona matukio ya picha ya washiriki wote walioingia katika nafasi ya 10 bora au kupata taarifa za shindano hili linalo rushwa na kituo cha Taifa TBC-1.

Jinsi ya kuweza kupata taarifa ya mambo mbalimbali yanayo endelea TWE ingia kwenye Facebook andika Tanzania worship Experience kisha (Like) ili uweze kupata taarifa zao.

Hivi ndivyo inavyo onekana katika Kitabu cha Facebook.

Lakini pia kama unataka kujishindia Simu nzuri kutoka NOKIA ni nafasi yako kupiga kura uwezavyo kupitia mshiriki umpendaye ili uweze kujipatia zawadi hiyo kutoka Tanzania Worship Experience.

Jinsi ya kupiga kura,ingia kwenye simu yako andika neno TWE acha nafasi andika namba ya mshiriki kisha tuma kwenda namba 15678.

Wafatao ndio washiriki walioingia Top ten.
1}CLORIA KASEKWA
2}BOKE CHACHA
3}VERONICA MKUNGA
4}DIMPUNA MWASILE
5}UPENDO JOSEPH
6}ALAN KAGWE
7}UPENDO MLIGO
8}MONEILA RAPHAEL
9}DANIEL MAGESA
10}HELEN GEORGE


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP