Friday, October 19, 2012

HIVI NDIVYO MATREKTA YA KANISA LA EFATHA YALIVYO CHOMWA MOTO.

By Jimmy  |  2:05 PM No comments

Habari yakusikitisha Shamba la Eftha lililopo Sumbawanga wilaya ya Sikaungu limechomwa moto na wananchi kwa kujichukulia sherea mkononi kwa kuvamia Kambi ya shamba hilo pamoja na kuchoma Matrekta mawili ya Shamba hilo.Uwaribifu huwo umeambatana na kubomoa baadhi ya nyumba kwenye kambi hiyo na kuteketeza baadhi ya mali zilizopo katika Shamba hilo zinazo gharimu Milioni 228.

Picha kwa hisani ya Tunu


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP