Saturday, October 6, 2012

FRIENDS ON FRIDAY EXECUTIVE FUNIKA MBAYAAAA!

By Jimmy  |  11:35 AM No comments

Usiku wa Jana kwenye Hotel ya Peacock Friends On Friday Executive ilifana kwa kiasi cha Juu sana. Katika siku ya Jana Burudani iliongozwa na Miriam Lukindo wa Mauki, Bombi Johnson, Gift and Beauty, Amani Kapama na kwenye Saxaphone alikuwepo Mtaalam Mise Anaely. Kama Kawaida Mc Pilipili alifumuka na mambo mapya kabisaa siku ya Jana.

Wazee wa mwendo ambao siku ya jana walifanya kweli kiasi chakumchanganya Ruge mtahaba na kuuliza sikuzote alikuwepo wapi asijue hii kitu hapa mjini.Twende kazi na matukio ya picha
Amani Kapama akifanya kweli siku ya jana.
Mutoto ya mujini Fred Msungu.


Johnson bomby akifanya kweli siku ya jana.
Kila ufikapo FoF lazima ukutane na shemeji yangu Edna Luvanda akikukaribisha kwa tabasamu la furaha
Mc Papa the Blogger kama kawaida
Mchungaji Deo Lubala akiwa katika jumba la Ki-executive.
No Comment



Mdogo mdogo watu wakienda sawa na Miriam Lukindo.

Mtaalamu wakupuliza saxaphone Mise Anaely akiwa na mkewe.Huyu ndie aliye mchanganya Ruge siku ya jana.
Sina lakusema hapa kwa Mc pilipili.Uishi milele.

Dotto Stanley Mtaalam kutoka Kituo Cha Uwekezaji Jana Usiku alitaja Makampuni Yanayosaidia Wabongo kuwekeza kwenye Nyanja tofauti Tofauti.
Kama kawa nikiwa ki-executive.
Wapi Reene lyatuu.


Pozi la ki-executive Faraja Mndeme.


No comment


Prospar Mwakitalima akiwa na Godwin Protace katika vazi la Executive.
Uncle Jimmy,Rose,Furaha Masinga.Mwendo wa pozi la picha ki-executive


Mzee wa Executive Roert Charles a.k.a ROCHA akiwa anakata Keki ndani ya FoF Executive jana ilikuwa Birthday ya Mdau huyu wa FoF
Nilishe nikulishe ndio ishara ya.....upe..
Mdogo mdogo siku moja mtaelewa nikiwa na Ruge Mtahaba jana.

PICHA 6 RUGE MTAHABA AKIFANYA INTERVIEW NA CHRIS MAUKI SIKU YA JANA.
Ruge mtahaba alizungumzia jinsigani kijana anaweza hipata fursa na kukuza Talent aliyonayo





My shemejiiiiiiiii!
WAKATI WATU WAKIPATA CHAKULA TUKA PATA VIMBWANGA VYA MC PILIPILI YA SHUGHULI.PICHA 8 AKIWA KAZINI.
Usifanye mchezo na hiki kichwa.
Saluuuuti.Kitu cha kijeshi.
 Jana Pilipili alikuwa na Package ya Usumbufu wa Abilia wanaopanda Mabasi Ya Kusafiri huku ukiwa umekaa na Mama Mwenye Mtoto, Unaweza Ona chini kuna Themos ya Uji, Kuna Papaas,  Kikombe Cha Uji na Mkononi akiwa amempa Chuchu Ya Maziwa Papa Sam sasali....It was Awesome Comedy Jana.


Abella akipewa hai 5 na Mc pilipili siku ya jana.
 
Unapo sema (Executive) lazima utowe Chakula cha ukweli na sehemu ambayo ukicheza utokwi na jasho.Taratibu watu wakijiudumia na bufe la ukweli siku ya jana.








Mc pilipili akiwa na Manager wake Luvanda








Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP