Kupitia swali letu tulilo uliza wikimbili zilizopita {Je kufanya Mapenzi na Mtu unaetarajia kufunga naye ndoa kunawezaleta kutokuaminiana katika ndoa yenu?}
Haya ndio majibu ya wasomaji wa unclejimmyblog.
Asilimia {75%} ya wasomaji wamejibu ndiyo.
Asilimia {20%} wamesema hapana.
Asilimia {5%} wamesema sijui.
Huu ndio mtazamo wa wasomaji wa www.unclejimmytemu.nasio mtazamo wangu.
Swali la wiki hii {TAMASHA LA LOVE TANZANIA FESTIVAL,Je wanamuziki na watangazaji wa injili wamejifunza chochote kutoka kwa akina Don Moen na Nicole}
Jinsi yakupiga
kura-Angalia upande wakushoto kwa juu kuna vijisanduku vitatu vya
Ndiyo,Hapana,Sijui.Piga kura yako na majibu yatatolewa bila
kuchakachuliwa.
0 comments: