Tuesday, August 21, 2012

HONGERA MR & MR ANTHONY LUVANDA KWA MTOTO CAREN KUZALIWA SIKU YA JANA.

By Jimmy  |  9:53 AM No comments

Siku ya jana ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Luvanda baada ya Mtoto wao kipenzi kufikisha Miaka miwili ya kuzaliwa kwake.Familia hii wakiwa wenye furaha na upendo ulio ndani yao waliwaalika marafiki mbalimbali katika kufurahi pamoja na Mtoto Caren.

 Huu ndio mwaliko aliotoa Edna siku ya jana kwanjia ya Facebook kwa marafiki mbalimbali.
Mtoto Caren mdogo mdogo akielekea eneo la tukio.
 Blogger Sam akiwa na warembo Glory na Dorcas.
Wageni mbalimbali wakiwa wamefika kufurahi na Mtoto Caren.Kushoto kijana Peter akiwa busy na Bbm.
Kushoto Happy akiwa na Shemeji yangu Edna Luvanda wakiakikisha msosi unatoka waukweli
Watu busy kuanda mahakuli.


Mambo ya mahakuli yalikuwa yakutosha kazi ilikuwa kwako mlaji.Asante Happy na Edna Luvanda japo ukunifungia kwenye kipaseli.
 
PICHA 11 WATU WAKIPATA MSOSI SIKU YA JANA.
Alie tufungulia dimba la chakula alikuwa mrembo Caren.Hongera mrembo Caren
 
Watoto walikuwa sehemu ya furaha siku ya jana




 Hudson sijui nini kilikuwa kina mfurahisha hapa nakusahau chakula



 
Baba na Mama wa Mtoto Caren wakipata msosi.Safii
 
PICHA 10 ZA TUKIO LA KEKI.MUONGOZAJI ALIKUWA MREMBO CAREN AKISAIDIWA NA MC PILIPILI.

 Caren akikata keki taratibu
 Baba ndie aliefungua dimba.Chamuuuuu!!

 Mama mzaa chema Edna akilishwa keki na Caren
 
 Mc Pilipili akilishwa Keki
 

 Sisi tulibaki mashuhuda
Hapa sijui tullikuwa tunaongea nini vile.
Wahooooooooo!!



 

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP