Mchungaji Kiongozi wa Mlima wa Moto Mikocheni B aliongoza mfungo wa siku tatu ulioanza Tarehe 30/7/2012 na kuhitimishwa siku ya leo Tarehe 2/8/2012 katika kanisa la Mlima wa Moto.Hakika maombi haya Mungu aliweza kuonekana wazi wazi kupitia maombi yaliokuwa ya kiendelea kutwanzima ya leo.
Nikweli kila aliyefika Mlima wa Moto alimuona Bwana akimtetea nakupokea hitaji la Moyo wake .
Watu shangweeeeeeeeee
Kulia Dada Yasinta akiyarudi kupitia sebene la hitimisho la mfungo.
Sebastian Kimario Mchungaji msaidizi mdogo mdogo akiyarudi.
Mpiga drams Stannley Nnko twende kaziiiiii.
Swahiba Victor William alikuwepo akienda sawa na sebene.
Wazee wa mwendo wakimsifu Mungu,hapa ukikaa basi waumwa.
People!oooooooooooo.
Ibada hii ya hitimisho ya mfungo wa tatu kavu imekuwa ya furaha kwakila mmoja akiamini Mungu amekutana nae kupitia mahitaji yake binafsi.Tunakila sababu yakumpongeza Mchungaji kiongozi Mama Mh. Dr .G .Pangalile Rwakatare kwa maono haya yakuliombea Kanisa na Taifa kwa ujumla.
0 comments: