Tuesday, August 7, 2012

HAYA NDIO MANENO YA MWISHO YA SHUKRANI OBED WA THE VOICE.

By Jimmy  |  5:32 PM No comments

 Obed akiwa amefika Studio za Praise Power.

Nukuu Obed-Mimi kama mmoja wa kundi la The Voice napenda kumshukuru Mungu kwa muujiza mkuu ambao amefanya katika ajali niliyopata kama sio yeye mimi ningesha kufa lakini amekuwa baraka kwangu na maisha yangu.Wako watu wengi wanapata ajali lakini awaponi.Why me?
Naamini bado anahitaji niifanye kazi yake mpaka pale atakaponiita.

Pia napenda kuwashukuru watanzania wote kwa maombi yao yasiokoma na support kubwa kwa wenzangu The Voice katika kipindi chote cha kuniuguza.Pili napenda kuishukuru Radio Praise Power kwa kuwa pamoja na mimi katika kufikisha habari kwa uma juu ya ajali yangu nahata kutoa nafasi kwa watanzania kutoa michango kupitia kituo hiki.

Kiukweli sina lugha ya kueleza furaha tulionayo kama group kwa support tuliooneshwa na jamii yote ya Tanzania tunawapenda wote na Mungu awabariki wote.Mwisho wa Nukuu

Obed akiteremka kutoka kwenye gari aliyofika nayo Praise Power Fm.

 PICHA 6 THE VOICE WAKIWA MJENGONI PRAISE POWER RADIO






Mwisho The Voice wanawakaribisha wadau wote mashabiki na watanzania kwaujumla kushiriki pamoja katika tamasha la Love Tanzania Festival litakalofanyika J/mosi ya Tarehe 11 na 12 ya mwezi wa nane katika viwanja vya Jangwani.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP