Wataalam wa maswala ya ujasiliamali wakienda sambamba na mimi katika Vichagizi vya Mafanikio pamoja na jinsi ya kujikomboa kutoka katika umasikini.Elizabeth Lema ni mjasiliamali alie subutu na kuweza baada yakupitia shida na matatizo mengi katika maisha yake.
Kwa sasa Elizabeth amepiga makazi yake kenya akijishuhulisha na kazi mbili moja ni Beauty consultant ya urembo,pili anamanage hotel na kampuni ya madawa ijulikanayo Cornwell Quality Tools $ Chemicals International ambayo mwezi wa 12 itakuwa inapiga maskani yake hapa Tanzania.
Tenga namba ni mtuzi wa vitabu apa Bongo vinavyo fanya vizuri sana 1}NGUVU YA KIJITAJIRISHA 2}KICHWA CHAKO DHAHABU YA UTAJIRI.Geophrey Tenganamba amekuwa baraka kwa wasikilizaji wa Rise and Shine kutokana na Elimu anayotoa kila siku kupitia 99:2 Praise power Fm.Rise and Shine nikipindi kinacho anza Saa 6:00 adi 10:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa Elizabeth amesema mwezi wa 12 yeye na mumewe watakuwa wakirudi nyumbani kuja kutoa uduma kwa watanzania.Kwa sasa wanamalizia jengo kubwa uko [KIMBIJI] ambako yatakuwa makazi yao.
Elizabeth Lema na Geophrey Tenganamba
Ukimuangalia Elizabeth unaweza kuhisi ana miaka 26/27.Kwa sasa anamiaka 42 lakini bado mbichiiiiiii.
Mawasiliano na Elizabeth
Facebook-Elizabeth H Lema
Mob-+255 713 306263
+225 763 578057
Tupo hapa Tz na kazi imeshaanza. soon tunakuita uncle Jimmy uje kuweka baraka kwenye mjengo.
ReplyDelete