Wednesday, June 20, 2012

UJINGA WA SAM SASALI HUU HAPA.

By Jimmy  |  7:30 AM No comments

Kuna vitu ambavyo toka uzaliwe ujawahi kuviona vikifanyika kwenye umati wa watu au kufanyika kweye kusanyiko la watu.Uko Ujinga wa Sam sasali a.k.a Aluwatani a.k.a Mzee wa Sebene,a.k.a Papa.Haya yote ni majina yake.Ujinga aliokuwanao ufanya wengi kufurahi nakucheka bila kulazimishwa.
Hapa ni Jangwani kwenye Mkutano wa juzi tu,baada yakucheza sana sebene akaona isiwe tabu ngoja ni lale ukunikiendelea na BBM.
Kwambali unaona jukwa la mkutano.Haki ya nanii aluwatani.

Furaha ya ujinga huu upatikana Friends on Friday.Yapo majina mengi yanayo ipamba FoF ila ya mwezi wa 7,Ni Friends on Friday Kidole kimoja juuuuuuuuuuuuuu.My Friends hii siyakukosa mana kuna vitu kibao vitakuwepo.Ni tarehe 6/7/2012

TIZAMA UJINGA WA ALUWATANI SAM SASALI.


Ujinga wa Sam sasli ni ujinga uliopimwa na kukubalika katika jamii yoyote.Tahadhari usifanye ujinga huu kama unakipaji.

TIZAMA UJINGA WA PILI.


Ujinga huu ambao ufanya kilaanae fika Friends on Friday abaki mdomo wazi ni Michezo.Na michezo hii uwongozwa na Mjinga Sam Sasali.Hapo ulipo unakumbuka Michezo ya Utoto ni?
  1. Baisho i Love Baby.
  2. Watoto wangu nyie.
  3. Ukuti ukuti.
  4. Kiooo kioo,alikivunja nani.
  5. Mabata mado madogo.
  6. Maua mazuri yapendeza.

Tizama Michezo ya Udogoni uliyo i miss,Tahadhari usiige kama una kipaji.





Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP