Thursday, June 21, 2012

IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION

By Jimmy  |  7:44 PM No comments


K-Pro ni Studio yenye obora wenye kiwango cha juu,yenye uwezo wakufanya kazi zako zozote utakazo.Producer wa K-Pro ni swahiba Paschal Kinuka ambae ni mtaalamu wa mziki na mwalimu wa Vocal.

Paschal ni Producer wa nyimbo za injili na za kawaida,nimzoefu wa muziki pia ni mwalimu wa vyombo,Gita na Kinanda.K-Pro studio inashugulika na kurecord muziki live,Kufundisha mziki,pia kutoa ushauri kwa muimbaji.
Paschal akiwa na Masoud Kipanya K-Pro

Ukiacha huduma zote zinazo patikana K-Pro sasa wanakodisha vyombo vya muziki vinavyo weza kukidhi mahitaji yako katika Sherehe mbalimbali kama Harusi,Komunio,Kipaimara n.k

Producer wa Studio hii {Paschal} kwa muda wa miaka 5 alikuwa nchini Korea ambapo alikuwa akijifunza kazi ya mziki kwa ustadi mkubwa akiwa na Mwalinu wake Seoul ambae anamshukuru Mungu kwa tahaluma aliyo mpatia.Studio ya K-Pro inapatikana Sinza Mapambano karibu na Hotel ya Double View.
Upendo Nkone akiingiza Sauti K-Pro

Studio hii iko mbioni kutengeneza Album za waimbaji tofauti kusaidia waimbaji wado wenye kipaji kusikika na kutambulika duniani.Mpango huu unasimamiwa na Paschal pamoja na Mtangazaji wa Ppr Erick Brighton.
Paschal akiwa na rafiki yake nchini Korea.
Akiwa Korea na Watoto.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0716-445133 au 0752-806036






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP