Saturday, June 16, 2012

KWA MAHITAJI YA JUKWA LA KISASA,DURBIN CD.MUONE ERICK BRIGHTON.

By Jimmy  |  2:17 AM No comments

Hii ni habari njema kwako.Gospel Boys inakuletea Vyombo vya mziki vya kisasa,Jukwa lenye kiwango cha hali ya juu lenye kukidhi mahitaji yako.Pia wanatoa huduma ya Mziki kupitia Mashine ya kisasa ya Dj Mixing,Pamoja na huduma ya Durbin CD.

Numark IDJPRO Premium DJ Controller for iPad



Vifaa hivi vinapatika Kijitonyama kwa Mtangazaji wa Praise Power Fm Erick Brighton,waweza kuwasiliana nae kwa Simu no 0715-408566.
Kwenye One $ two Dj Erick akifanya Mixing zaukweli ndani ya Kanisa la Mlima wa Moto.
Hili ndilo jukwa linalopatikana kwa Erick Brighton.Lina viwango vyote vyakubeba sherehe yoyote.Iwe Mikutano ya Serikali,Mikutano ya Injili,Mikutano ya Kapeni za vyama mbalimbali vya siasa.Ondoa wazo la usafiri Gospel Boys itakufikishia popote utakapo taka lifike pasipo usumbufu wowote.
Ukiacha swala la burudani linalokupasa upate jukwa na Sound nzuri,wanazo mashine za kisasa zakufanya "Durbin CD" kwa wewe muimbaji na hata kwa walimu wanaopenda kuwa na Masomo yao katika mfumo wa CD.

Kwa bei rahisi unapata huduma hii kwa Erick Brighton anaepatikana Kijitonyama.Wasiliana nae kwa Simu namba 0715-408566.
Mashine yakutoa CD Audio.
Turntable ya Dj Mixing
Muonekano wa Mashine ikiwa kikazi zaidi.
Usiumize kichwa niende wapi nipate huduma bora ya kukidhi mahitaji yako ya Sherehe,Event n.k.Muone Erick Brighton anae patikana Radio Praise Power Fm au wasiliana nae kwa simu yake ya Mkononi O715-408566.Karibu sana





































Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP