Monday, June 18, 2012

BIG UP BLOGGER VIVA SHUSHO VIVA TANZANIA.

By Jimmy  |  12:45 AM No comments

Kwangu siku ya jana ilikuwa siku nzuri sana mana nilipata time nzuri yakupiga Story na Bloggers Sam Sasali na Victor a.k.a Jembe.Ilikuwa majira ya Saa saba mchana katika Studio za Praise Power nikifanya nao Interview.

Utakuwa si mgeni kusikia Christina Shusho amechaguliwa katika Tuzo za Africar Gospel Music Awards akiwa amechaguliwa kugombe nafasi mbili "Mwanamuziki Bora wa Kike Barani Africa" na "Mwanamuziki Bora Kutoka Africa Mashariki"

Campaing hii iliyo zinduliwa rasmi tarehe 11/6/2012 imekuwa Campaing ya nguvu kuakikisha Shushu anaibuka kidedea Tanzania.Nawashukuru Blogger wote kujitolea kwa Moyo wa Upendo wa dhati kuakikisha Bibie Christina Shusho anatwa tozo hizo.Jinsi yakumpigia kura Christina Shusho bonyeza www.africagospelmusicawards.com , then bonyeza "Nominees 2012" Kisha Fuata Maelekezo.


VIVA SHUSHO VIVA TANZANIA.
Nikiwa na Blogger Victor.Hapa alikuwa akinieleza jambo.
Hapa ilikuwa shangwe kubwa kupitia Sebene lililokuwa hewani.Watu weweeeeeeee.
Nikiwa na Double E Studio.
Swahiba wangu Sam a.k.a Aluwatani akiwa na Double E Studio za Ppr.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP