Filamu inayo endelea kutengenezwa na Pastor Emmanuel Myamba,Siku ya jana wakiwa kikazi kukamilisha Filam hii katika kanisa la Mbezi,uwepo wa mungu ulishuka nawengine kunena kwa Lugha ya Roho Mtakatifu na wengine mapepo yakiwatoka.
Akizungumza na Blog hii Pastor Myamba alisema anamshukuru Mungu kwa Filam hii kwani toka wameanza Shooting Mungu amekuwa akionekana kila sehemu wanayo kwenda,hivyo watanzania wakae mkao mzuri kupokea "God"s Kingdom itakayo funga midomo ya Move ya Marehemu Kanumba Devil's Kingdom.
Pata Matukio ya Picha katika shooting ya God"s Kingdom.
0 comments: