Saturday, May 26, 2012

TANZANIA WORSHSHIP EXPERIENCE YAANZA NA KANDA YA ILALA.

By Jimmy  |  2:43 PM No comments

Lile shindano lakutafuta na kuibua vipaji vya waimbaji wa mziki wa Injili Tanzania Worshship Experience,siku ya leo limeanza mchakato wake rasmi kutafuta waimbaji wenye vipaji ambao awajulikani katika Hotel ya Atriums.
Mwenyekiti wa maandalizi hayo amesema mchakato huu utakuwa wakanda Tatu,Ilala,Temeke na Kinondoni.Kwa kuanza tumeanza na Ilala ambapo wiki ijayo ya Tarehe 3/6/2012 shindano hili litaamia Wilaya ya Temeke.


Twende sawa na Matukio ya Picha.
Watu wakifatilia mpambano.

Blogger Rulea akiwa busy kutupia habari,Kushoto Mchungaji Mlezi Charles Mbogoma.
Majaji wakiwa busy kuakikisha washindi wa Kanda ya Ilala wanapatikana.

Mshiriki akienda sawa jukwaani.

Kama kawa kama dawa kitu live jukwaani.
Kulia ni Jajii Emmanual Mabisa akitowa maoni yake kwa mshiriki.Anaefata Jaji Happyness Joseph,Jessica Honore,na Louise Johnas.
Baada ya Mchuano mzima hawa ndio 9 bora wa Tanzania worship Experience.
Mc wa Event Sam sasali akimuoji Mshiriki Upendo Michael ambae aliibuka mshindi No 1.
Huyu ni Mume wa Mshiriki aliechukua No 1 katika mashindano haya Mr Joseph Michael akiwa amembeba Mtoto wa Mke wake.
Mshindi wa Tatu akiojiwa na Mc Sam sasali.
Mchungaji Charles akihitimisha kwa Maombi.People tukutane wiki ijayo tukiwa kanda ya Temeke mahali ni pale pale Atriums Hotel Sinza.












Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP