Dorice Mhangama.
Wiki chache baada ya mazishi ya aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini,Steven Kanumba,gazeti la NYAKATI lilifanya mahojiano na Dorice Mhanga ambaye anasema alionyeshwa kifo hicho mapema ambapo ameeleza kuwa,sasa anajiona yuko katika hatia
Mhangama,mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye siku moja tu baada ya Kanumba kufariki alisema kwa ushahidi wa barua,kuwa alionyeshwa kifo hicho na kufanya jitihada za kukutana naye bila mafanikio,amesema "ninayo hatia,ninalo kosa,nimemkosesha mtu kama maandiko katika Ezekieli 3:17-19.
Mhangama aliendelea kusema "neema inakuwepo mtu akiwa hai,Bwana hafurahii kufa kwa mtu mwovu.Nilikuwa sijawai kuangalia hata filamu zake Kanumba.Nilikuwa sijawai hata kununua kanda zake,Baada ya kifo chake ndipo nimeona sehemu kidogo tu ya filamu yake ya "Devils Kingdom'Lakini Mungu alinionesha kifo chake muda mrefu,na mimi nilijitahidi kukutana naye bila mafanikio.Ninayo hatia mbele za Mungu
Dorice Mhanga anaendelea kueleza siku akiwa Ofisini kwa Kanumba ene la sinza meeda,ambako alihangaika hadi kufika,alikataliwa katakata na Sekretari aliyejulikana kwa jina la Gisela kuwa asingeweza kuonana na Kanumba,na badala yake akamshauri aandike kwanza barua.Barua hiyo ambayo ilpokelewa na Gisela kwa kutia sahii yake katika nakala ya barua hiyo ambayo mpaka sasa baadhi ya Magazeti waliweza kuonyesha sahii ya upokeaji wa barua yangu alisema Mhanga.
Hata ivyo baadhi ya wakosoaji wanasema Mhangama kwa kulazimika kuandika barua ya kuomba kuonana na Kanumba alifanya kosa la kiroho,kwani kama mtu aliyeokoka alikuwa na mamlaka kamili ya kuonana naye pasipo kwanza kupewa masharti ya kuandika barua.

0 comments: